Huwezi kufanya kitu kitu na kufikia malengo bila kwenda na muda .Muda ndio kila kitu usikubali kupoteza muda wako kwa vitu visaivyo na maana kama vile kwenda kwenye nyumba za starehe nanua kama kijana huwezi kuishinda hali hii bila kuwa na uweza wa mungu lakini ukitaka kufika malengo kama kijana ni lazima ujue kutunza muda