Ni lazima ujue wewe ni kwanini ulikuja duniani kama binadamu wala sio ng’ombe, mbuzi ,samba au hata mnyama au mdudu mwingine yoyote ni kwa sababu kuna kusudio Mungu aliloliweka ndani yako na ni lazima ulijue na ulifanyie kazi kwa wakati unaostahili kwamaana ukilojua tu alafu haulifanyii kazi haitakusaidia chochote na vizuri ukajua mapema na ukaweza kufanya mambo makubwa zaidi hata jamii ikashangazwa na ulichokifanya kusudio ni ujue nini kimekuleta duniani.